CCCF HUDUMA YA KILA JUMATANO

HUDUMA YA VIJANA JUMAPILI YA TAREHE 14/6/2015

SOMO:KIJANA ANATAKIWA AWE NA SIFA ZA UFALME
MWALIMU: STELLA MITTI
a)Wewe kama kijana lazima uwakilishe ufalme,uwe mtoto wa mfalme
b) Lazima uwe na Imani kama mfalme,kwamba ufalme upo.(Mathayo 12:28 , Luka 17:21-25)
Kwenye ufalme lazima kuwe na uvumilivu na matumaini.
c) Ufalme wa Mungu  hauyumbishwi( Unshakable).(waebrania 12:28)
     WEWE NI MTOTO WA MFALME

                           Mwalimu Stella Mitti akiwa na Vijana kwenye semina




Vijana wa CCCF wakiwa katika semina ya jumapili 14/05/2015