28-30 AUGUST
2015
MADA
SOMO: IMANI YA KIJANA MKRISTO KATIKA ULIMWENGU
UNAOBADILIKA KWA MUNGU ASIYEBADILIKA
Ulimwengu
wetu unabadilika sana, tena kwa kasi kubwa na ya kushangaza sana. Tunajivunia mabadiliko
mazuri, lakini pia tunajitahadharisha na mabadiliko mabaya.
Marko
13:31
“Mbingu
na Nchi zitapita, lakini Maneno yangu hayatapita kamwe.”
MSIMAMO
Japo
dunia na mifumo yake vitabadilika, lakini IMANI zetu kama watu wa Mungu,
hazitakiwi kubadilika kamwe.
MABADILIKO
HAYA YANATOANA NA NINI?
Ni mabadiliko yanayotokana na mwingiliano
wa jamii mbalimbali kutokana na maendeleo hata kusababisha hizo jamii
mbalimbali kuwa kama jamii moja (kijiji)
1.Ongezeko
kubwa la Maarifa
2.Mabadiliko
ya Sera za uchumi
3.Msukumo
Mpya Kisiasa
4.Uhuru
wa Mipaka ya nchi
5.Mwingiliano
wa Kitamaduni
6.Badiliko
ktk Mtindo wa Maisha
Daniel
12:4
“Lakini
wewe Daniel, yafunge maneno haya, ukakitie muhuri kitabu, hata wakati wa
mwisho…” “… (kwa maana) wengi watakwenda mbio huku na huko, na
maarifa(duniani)yataongezeka.”
Mabadiliko katika mifumo ya kimaisha katika nyanja
za;
Elimu, Tamaduni, Familia, Siasa,
Uchumi, Imani, Mitindo na Mazingira.
Aina
za Mabadiliko
Mabadiliko
haya, yapo katika Sura tatu(3) kubwa;
a) Mabadiliko Mazuri
b)Mabadiliko Mabaya
c)Mabadiliko ya Kawaida
a) Mabadiliko Mazuri
b)Mabadiliko Mabaya
c)Mabadiliko ya Kawaida
MABADILIKO
MAZURI
1. SIASA;
chama kimoja, huwezi sema neno baya kuhusu chama tawala
2. UCHUMI; Bank-ATM, SIM BANKING
3. IMANI:
Mifume ya kiimani imebadilika, matumizi ya biblia
4. ELIMU- Computer
…
Mitambo Mbalimbali
-Ugunduzi
mitambo-mtu(Robots)
- Ndege
za nje ya sayari(Space ships)
- Mitambo
ya‘satellite’ za angani
- Mitambo
Tambuzi (chips/sence)
7. SAYANSI
NA TECHNOLOGIA- Barua, Internet, website n.k
- Internet
- Website
- Emails
- Facebook
- Twitter
Instagram
MABADILIKO
MABAYA
Mabadiliko katika mifumo ya kimaisha katika nyanja
za;
1.Mabadiliko
ktk Mitindo ya Maisha
-
Jamii inashuhudia mitindo mingi mipya, Kwa Mfano; Harusi, kitchen
parties, valentine, n.k.;
- Tamaduni,- Uvaaji wa Hereni,
milegezo, kujichora n.k
UTUNZAJI WA MWILI
-
1Wakorintho 6:19-20
- 19Au, hamjuiyakuwa mwili wenu ni hekalu la Roho Mtakatifu, aliye ndani yenu, mliyepewa na Mungu?
- … Au, hamjuiya kuwa, ninyi si maliyenu wenyewe?
- 20 maana mlinunuliwa kwa thamani [Damu ya Yesu]. Sasa basi, mtukuzeni Mungu katika miili yenu.
-
Utunzaji waMwili
-
1Wakorintho 3:16-17
- 16 Je, hamjui ya kwamba ninyi ni hekalu la Mungu na kwamba Rohowa Mungu anakaa ndani yenu?
- 17Kama mtu yeyote akiliharibu hekalu la Mungu, [yaani mwili wake]Mungu atamwangamiza mtu huyo,…17… Kwa maana hekalu la Mungu ni takatifu, ambalo ndilo ninyi.
- UKOMBOZI WA MWILI
- Waefeso 4:17-24
- ‘Tangu sasa, tangu mmempokea Yesu Kristo kuwa Bwana na mwokozi wenu, msienende tena kama mataifa wanaovyoenenda
- ‘‘ambao akili zao zimetiwa giza, nao wamefarakanishwa na uzima wa Mungu, kwasababu ya ujinga ndani yao, kwasababu ya ugumu wa mioyo yao. 19 ambao wakiisha kufa ganzi wanajitia katika mambo ya ufisadi wapate kufanyiza kila namna ya uchafu kwa kutamani.
-
20 Bali ninyi, sivyo mlivyojifunza Kristo; 21 ikiwa mlimsikia mkafundishwa
katika yeye, kama kweli ilivyo katika Yesu, 22 mvue kwa habari ya mwenendo
wa kwanza utu wa zamani, unaoharibika kwa kuzifuata tamaa zenye kudanganya;
23 na mfanywe wapya katika roho ya nia zenu;
24 mkavae utu mpya, ulioumbwa kwa namna ya Mungu katika haki na utakatifu wa kweli.
24 mkavae utu mpya, ulioumbwa kwa namna ya Mungu katika haki na utakatifu wa kweli.
3. Mabadiliko
ktk Mila na Utamaduni
(c) Mabadiliko ktk Uvaaji mavazi
TafsiriyaMavazi;
-
Mavazini Sitiri(Hifadhiau Ficha)
-
Mavazini Utambulisho(Ishara)
-
Mavazi ya Kusudi maalumu(kazi)
-
Mavazi ya Urembo(Kujipamba)
-
Uvaaji wa Mavazi
-
1Timotheo 2:9-10
9 Vivyo hivyo nataka wanawake wajipambe kwa mavazi ya
kujisitiri, pamoja na adabu nzuri na heshima kama inavyostahili, [na] sio kwa
kusukanywele[tu], [na kwa] kuvalia dhahabu, lulu au nguo za thamani…
10… bali [wajipambe] kwa matendo mazuri kama iwapasavyo
wanawake wanaokiri kumcha Mungu.
(4) HESHIMA YA NDOA
- ‘Ndoa’ imepoteza heshima na thamani yake, hatakufungwa kati ya watu wajinsia moja.
Waebrania 13:4
4 Ndoa na iheshimiwe na watu wote, na malazi yawe safi; kwa
maana waasherati na wazinzi Mungu atawahukumia adhabu.
(5) THAMANI YA TENDO LA NDOA
-
Sex imepoteza heshima yake hatakutolewa nje ya mipaka ya ndoa na nadhiri
za ndoa.
-
Mitindo miovu na ya aibu kama;
-
“Ngono za makundi” (group sex)
-
“Ngono-Kiburudishotu” (snack sex)
-
Tuna laani na Tunakemea kabisa vitendo vya‘uvunjiaji heshima’wakila
namna, juu ya Tendo takatifu la ndoa (Sex).
WARUMI 1:18-36
WARUMI 3:10-18
MWANZO 6:1 5-8
Fundisho la Mfano:
Danieli 1:1-21
Imani ya Daniel na Vijana Wenzake
-
Watu wa Mungu, walijikuta katika ulimwengu mwingine, wenye mila, tamaduni
na imani tofauti kabisa na zile za nchi ya kwao.
- Watu wa Mungu waljikuta wakibadilishwa utamaduni, lugha, elimu, mavazi, chakula] mpaka majina yao
- 8Lakini Daniel [na wenzake watatu] waliazimu kutojitia unajisi kwa chakula cha mfalme, wala kwa divai aliyokunywa …
- 17Basi kwa habari ya hao vijana wanne (4) Mungu aliwapa maarifa, na ujuzi, na elimu na hekima …
- 20Na katika kila jambo la hekima na ufahamu, alilowauliza Mfalme, akawaona kuwa wanafaa mara kumi (10) zaidi …
- 20… kuliko waganga na wachawi wote waliokuwa katika ufalme wa Nebkadreza
- MAOMBI
- WAEFESO 4:22-25
- 22 mvue kwa habari ya mwenendo wa kwanza utu wa zamani, unaoharibika kwa kuzifuata tamaa zenye kudanganya; 23 na mfanywe wapya katika roho ya nia zenu;
- 22, Basi, acheni mwenendo wenu wa awali, yaani ule utu wenu wa kale uliokuwa unaangamizwa kwa tamaa zake danganyifu; 23 Jirekebisheni upya rohoni na katika fikira zenu (Good news Bible)
- 24 mkavae utu mpya, ulioumbwa kwa namna ya Mungu katika haki na utakatifu wa kweli.
- Waefeso 3:16-17
-
16 awajalieni, kwa kadiri ya utajiri wa utukufu wake, kufanywa imara
kwa nguvu, kwa kazi ya Roho wake katika utu wa ndani.
KUVAA UTU UPYA
WARUMI 12:1-2
1 Basi, ndugu zangu, nawasihi, kwa huruma zake Mungu, (Kwa
hiyo, ndugu zangu, maadamu Mungu ni wenye huruma nyingi, nawasihi kwa moyo wote).
itoeni miili yenu iwe dhabihu iliyo hai, takatifu, ya kumpendeza Mungu,
ndiyo ibada yenu yenye maana
2 Wala msiifuatishe namna ya dunia hii; bali mgeuzwe kwa
kufanywa upya nia zenu, mpate kujua hakika mapenzi ya Mungu yaliyo mema, ya
kumpendeza, na ukamilifu.
3. Msiige mitindo ya ulimwengu huu, bali MUNGU afanye mabadiliko
ndani yenu kwa kuzigeuza fikira zenu. Hapo ndipo
mtakapoweza kuyajua mapenzi ya Mungu na kutambua jambo lililo jema,
linalompendeza na kamilifu (Good news Bible)