Kwaya ya Parokia ya Mt. Kizito Makuburi ikiimba wakati wa mkesha wa sifa uliofanyika tarehe 7/8/2015 Ndani ya Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa
====================================================================
Semina ya watoto iliyofanyika Parokia ya Kilimahewa 22/06/2015 hadi 27/06/ 2015
Paroko wa Parokia ya Kilimahewa Fr. Regemalila akiwa na watoto.
Watoto wakiwa Kanisani