CCCF HUDUMA YA KILA JUMATANO

Vijana wa Parokia ya Kilima hewa wakiwa katika huduma wakati wa mkutano wa injili march 2015


          Waliimu Alfred Mkombo na Amedeus wakiwahudumia Vijana
Vijna wa Parokia ya Kilima hewa wakihudumiwa na kumkiri Yesu Kristo

Hawa ni baadhi ya wana CCCF walio shiriki katika mafungo yaliyofanyika Parokia ya Kilimahewa


                                    Wana CCCF wakiwa katika mafungo Kilimahewa